elimuyautajiiri.blogspot.com

Monday, March 18, 2019

SOMO LA KWANZA @elimu_ya_utajiri




KARIBU SANA KWENYE BLOG HII YA ELIMU YA UTAJIRI TUJUMUIKE PAMOJA.



Hii ni elimu inayotupa maarifa mbalimbali ya kufikia utajiri. Utajiri unaongelewa ni ule wa kufikia kiwango ambacho hauhitaji kufanya kazi ili uishi vizuri au kufanya kitu chochote unachohitaji, hiyo ni kutokana na kuwa na vyanzo mbalimbali vinavyokuingizia pesa za kutosha. TUNAITOLEA WAPI HII ELIMU? Tukiweka wazi ni kuwa sisi tunaoendesha huu ukurasa hatujafikia utajiri huo (nasi tunafuata mafundisho ya elimu hiyo kufikia malengo ya kuwa na UTAJIRI ambao @elimu_ya_utajiri inazungumzia). Ila tumeamua kutumia FURSA ya kuwafikishia elimu hii watanzania baada ya kusoma vitabu mbalimbali vya watu matajiri ambao wameamua kutufundisha kupitia vitabu na njia nyingine. Mfano ni bwana ROBERT KIYOSAKI mwandishi wa kitabu maarufu cha RICH DAD POOR DAD n.k Mjulishe na mwenzako anayewaza kuwa TAJIRI siku moja....FOLLOW ukurasa huu.....ili tupate wote @elimu_ya_utajiri



KAA TAYARI KUJIFUNZA MENGI JUU YA UTAJIRI.


           


 BLOG HII ITAKUPA ELIMU JUU YA UTAJIRI,ELIMU HII UKIIFANYIA KAZI ITAKUPA MAISHA YA FURAHA.

1 comment:

Face the challenge