elimuyautajiiri.blogspot.com

Monday, March 18, 2019

SOMO LA PILI @elimu_ya_utajiri




Nadhani wengi wetu tunakubaliana na hili kama sio WOTE. Na kama wewe hukubaliani na hili basi badlisha mtazamo. JE, WALIOAJIRIWA MAISHA YAO YAKOJE? Wengi walioajiriwa wanaishia kuwa na maisha ya kawaida tofauti na wazazi wengi walivyokuwa wanatushauri...wazazi walituambia tusome tupate kazi nzuri ili tuje kuwa na maisha mazuri...Je, kuwa na maisha mazuri ndio hivi tunavyoishi sasa hivi? Tumeishia kula chakula sio kile tunachokihitaji bali tunachokimudu, tumeishia kusomesha watoto sio shule tunazozihitaji bali ni zile tunazozimudu, tumeishia kusafiri kwa usafiri tunaomudu sio ule tuliouwaza wakati tunakua....Je, kweli na sisi tuendelee kuwashauri watoto wetu na ndugu zetu kama tulivyoshauriwa na wazazi wetu ili waje waishi maisha hayo? Nasema USHAURI HUO UMEPITWA NA WAKATI ndugu zangu TUBADILIKE JE, WALIOJIAJIRI WANAWASHAURI NINI WATOTO WAO? Cha kusikitisha ni kwamba hata waliojiajiri bado na wao wanashauri watoto WASOME KWA BIDII waje wapate KAZI NZURI....Wengi ya waliojiajiri wameji

No comments:

Post a Comment

Face the challenge