TATIZO NI DOGO TU KAMA SIO KUBWA SANA Tatizo ni kwamba elimu ya pesa haifundishwi mashuleni, elimu ya pesa inafundishwa nyumbani tena na wazazi wetu. Bwana Robert Kiyosaki anakwambia, sasa unafikiri mzazi maskini atakushauri nini kuhusiana na pesa? atakwambia "SOMA KWA BIDII, USIIFANYIE MASIHARA SHULE". Pesa haifundishwi mashuleni ndo mana wengi waliofanikiwa kusoma, wanapata wakati mgumu kuwa MATAJIRI. Tunahitaji sana sana elimu ya pesa ambayo sisi tumeamua kuiita @elimu_ya_utajiri, elimu hii haipatikani darasani ila kupitia ukurasa huu tunaimani watanzania wote wataipata elimu hii. Moja ya vitu ambavyo @elimu_ya_utajiri inatufundisha ni kufikirisha ubongo sio kuuacha ulale. Mfano, badala ya kusema "HIKI SIWEZI KUKIMILIKI AU SIWEZI KUKIMUDU" sema "NITAKIMILIKI VIPI au NITAKIMUDU VIPI?" Kwa kusema hivyo utaifikirisha akili yako ni jinsi gani unaweza kukimiliki kwa kufikiria fursa nyingi ambazo unaweza kuzifanya ili mwisho wa siku uje umiliki hiko kitu (ila hii haimaanishi inabidi unu

No comments:
Post a Comment