elimuyautajiiri.blogspot.com

Monday, March 18, 2019

SOMO LA NNE @elimu_ya_utajiri



KAMA HIYO SIRI ....SASA SIRI NI IPI? Nianze kwa kuangalia watu wanaolipwa pesa nyingi kupitia ajira...mi nafahamu kuna madaktari, mainjinia ,wanajeshi n.k ila pia wengine wowote ambao wamejiajiri na wanatengeneza pesa nyingi kwa mwezi..mnaweza nisaidia kufikiria...Je, hao wote niliowataja hapo juu ni MATAJIRI? wanaweza kuacha wanachokifanya na wakaishi maisha mazuri mpaka wanakufa na vizazi vyao vikaishi vizuri?? Jibu la jumla, kwa wengi wao kama sio wote HAPANA. Unajua kwanini? Watu wengi tunaumizwa na matumizi...yani mtu akiwa anatengeneza pesa nyingi au anapokea mshahara mkubwa atazidisha na matumizi yake kupitia ile hela anayoipata...Mfano, kabla hajaajiriwa au akiwa anaanza kujiajiri atapanga nyumba ambayo kodi yake ni elfu 20 au 30 lakini mwangalie akishaajiriwa au akishaanza kutengeneza pesa kupitia kazi yake aliyojiajiri...atapanga chumba kodi hata kodi ikafikia laki moja au hata laki 2....kama anafamilia watoto wake walikuwa wanasoma kayumba, atataka wote wasome shule ya kul


No comments:

Post a Comment

Face the challenge